Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kwenye game zenu za Championship zilizobaki mnapigwa zote.
Al Ahaly atawabamiza bao tano.
As Vita game za ugenini hajapoteza hata moja, hivyo pale taifa moto utawaka ..mtabamizwa kama siyo tano basi ni tatu..
Kwa wastani hapo mutakuwa mumepigwa siyo chini ya bao nane hivi, kwenye kufuzu mtashaaa maana mtaishia nafasi ya tatu..

#MkiaNguvuMoja .

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Naaam mkuu unajiskiaje huko uliko [emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe Kileleniiii kuna baridii hivi Wajamenii
IMG-20210424-WA0072.jpg
IMG-20210424-WA0093.jpg
 
WAPENZI WA SIMBA (NA WANA SOKA WOTE) AMBAO MKO MBALI NA TV ZENU/MABANDA UMIZA, karibuni niwapatie app ya azam tv mjionee soccer live na vipindi vingine vingine from azam tv channels.

Ni rahisi kujiunga

Gharama ni Tshs elfu 6000.

Ukijiunga leo haujiungi tena wala kulipia tena.
 
Anzisha uzi utawapata ila sio hapa.
 
Back
Top Bottom