Kwenye game zenu za Championship zilizobaki mnapigwa zote.
Al Ahaly atawabamiza bao tano.
As Vita game za ugenini hajapoteza hata moja, hivyo pale taifa moto utawaka ..mtabamizwa kama siyo tano basi ni tatu..
Kwa wastani hapo mutakuwa mumepigwa siyo chini ya bao nane hivi, kwenye kufuzu mtashaaa maana mtaishia nafasi ya tatu..
#MkiaNguvuMoja .
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Atakuwa anademkaNaaam mkuu unajiskiaje huko uliko [emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naaam mkuu unajiskiaje huko uliko [emoji1787][emoji1787]
Swadaktaa kabsaSIMBA SPORTS CLUB - FAHARI YA TANZANIA.
UchovuSIMBA LEO tunapoteza Point maana tumedolola sana
Anzisha uzi utawapata ila sio hapa.WAPENZI WA SIMBA (NA WANA SOKA WOTE) AMBAO MKO MBALI NA TV ZENU/MABANDA UMIZA, karibuni niwapatie app ya azam tv mjionee soccer live na vipindi vingine vingine from azam tv channels.
Ni rahisi kujiunga
Gharama ni Tshs elfu 6000.
Ukijiunga leo haujiungi tena wala kulipia tena.
Hujui mpiraHuyu bwana naona kaanza kuwa jipuView attachment 1765944
Hujui kweli sibishi, ungejua ungeelewa nilimaanisha niniHujui mpira
Kila la kheri MnyamaRobo na nusu fainaliView attachment 1769231