Simba hawakumsajili Manyama, ni Wajinga ndio walioposti hizo picha
 
Hawa watoto u20 hakuna kitu kabisa, yaani Tz tumekosa vipaji kiasi hiki au tatizo ni nini hasa
hakuna kitu zamani timu kama hizo mwisho wa msimu wanatoa hata wachezaji 5 kwenda timu ya wakubwa lakini sasa upotolo mtupu ingawa na yanga wana vibabu wanasema ni under 20
 
Ni muendelezo wa ushindi tu mpaka utopolo wajue hatuna masikhara na kazi
 
Mkuu badili hako ka nyau kalikokonda weka kale kenye njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…