Sioni kwenye attacking midfield kama tuna best option baada ya chama kuondoka
 
Bwalya? Vipi hatoshi?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Anatosha lakini anakabika kirahisi sana.
Ajib ni lazy sana na luxury uwanjani.

Bernard Morisson mambo mengi sana uwanjani.

Peter Banda anapenda kucheza wing ila anafaa kuocuppy CAM kwa sababu ya ubunifu wake.

Chikwende haifahamiki kama atakuwepo maana haonekani mazoezini.
Kwa signing tulizofanya ni Pape Osman Sakho na Abdulsamad wanafiti kwenye hiyo nafasi.
 
Ngoja tuone mkuu, hapa naweza nikawa Sina hoja sababu nna mapenzi binafsi na mpira wa bwalya.
Tangu chama yupo, bwalya alikuwa ndio the best kwangu. Ilifikia hatua akipiga basi nzuri bwalya nafurahi.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Kila la.kheri simba day.

Nipo mbele ya TV yangu hapa sitaki kwenda uwanjani.

Azam Mungu awaweke sanaa
 
Jamani yanga huko wachezaji wanne wana covid[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga hawataki kucheza
 
Msimu huu mechi nyingi Sana hasa za mwanzoni tutashinda kwa tabu sana,ushindi mwembamba makocha wafanyie kazi haraka mfumo upi unafaa kutumia bila kuwa na playmaker mwenye uwezo wa Chama ndani ya timu
 
Simba Tuna Nzur Sana Msimu huu.
Mulichokiona jana Ni kwamba Tp Mazembe nao pia Wako Vizur na Wamejiandaa muda mrefu km sis So hata Ingetokea Tumewafunga Tp Mazembe Utopolo Wasingekosa La Kusema.
Ila All in All Tukutane Tar 25 Next Week Ndio Watajua Kuwa Hawajui.
#OneTeamOnedream

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu PTER unaizungumziaje game ya jana?
Usajili umeuonaje, vipi tuna nafasi?
Mkuu mechi ya jana tumecheza vizuri ila tumecheza na timu ambayo msimu huu iko bora sana.

Usajili wetu uko vizuri japokuwa attacking midfield yetu ina shimo.

Nilikwambia Bwalya hawezi kuvaa vizuri nafasi ya Chama pale juu labda Sakho anaonyesha uhai kidogo ila kimo chake kinanipa mashaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…