Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri tuone, ila namtabiria makubwa.Anatakiwa apewe hiyo role ana brain ya mpira.
Bwalya? Vipi hatoshi?Sioni kwenye attacking midfield kama tuna best option baada ya chama kuondoka
Anatosha lakini anakabika kirahisi sana.
Ngoja tuone mkuu, hapa naweza nikawa Sina hoja sababu nna mapenzi binafsi na mpira wa bwalya.Anatosha lakini anakabika kirahisi sana.
Ajib ni lazy sana na luxury uwanjani.
Bernard Morisson mambo mengi sana uwanjani.
Peter Banda anapenda kucheza wing ila anafaa kuocuppy CAM kwa sababu ya ubunifu wake.
Chikwende haifahamiki kama atakuwepo maana haonekani mazoezini.
Kwa signing tulizofanya ni Pape Osman Sakho na Abdulsamad wanafiti kwenye hiyo nafasi.
Tusubiri msimu huu itakuwajeNgoja tuone mkuu, hapa naweza nikawa Sina hoja sababu nna mapenzi binafsi na mpira wa bwalya.
Tangu chama yupo, bwalya alikuwa ndio the best kwangu. Ilifikia hatua akipiga basi nzuri bwalya nafurahi.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Nakazia ,Game inachezwa saa ngapiWakuu game ya Simba saa ngapi
Nakazia ,Game inachezwa saa ngapi
Kila la.kheri simba day.
Nipo mbele ya TV yangu hapa sitaki kwenda uwanjani.
Azam Mungu awaweke sanaa
Nimejisikia kupita maeneo kujua nini kinaendelea!Viongozi wa Simba nileteeni Okwi,,nileteeni Okwi,,nileteeni Okwi.
Watacheza kwa lazima kima hao.Jamani yanga huko wachezaji wanne wana covid[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga hawataki kucheza
Mkuu mechi ya jana tumecheza vizuri ila tumecheza na timu ambayo msimu huu iko bora sana.Mkuu PTER unaizungumziaje game ya jana?
Usajili umeuonaje, vipi tuna nafasi?