Umemuona bocco?
bocco hakupata clear chance kama huyu mpuuzi. bocco akiwa kwenye form anakufurahisha. lini mugalu kaisaidia timu. mugalu alikuwa anabebwa na chama na luis. akikosa kufunga luis na chama wanafunga, timu inapata ushindi watu wanasahau makosa yake. sasa huyu jamaa ndio mtajua hajui
 
Chama na luis ndio walimfumngia goal 15 kwenye mechi 17 za ligi?
 
Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off
 
Ana control chumba na sebule, kapoteza mipira mingapi leo?
Hujaona?
 
Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off
Badilika kijana kifikra hata ungekua wewe ule mshahara usingeukataa na hapa tanzania hakuna timu itakayoweza lipa ule mshahara......jifunze kukubali kwamba wamesepa huoni hata huko duniani mifano chris madrid na mesi barca
 
Kimataifa Simba aiwezi kufika mbali kwa stricker kama Mugalu nafasi nne apati hata goli moja kima yule.
mkuu haya maneno nimeongea sana mkuu. huyu mugalu si wakuchezea timu kama simba. luis na chama walikuwa wakifunga na timu kutoka na ushindi mashabiki walisahau makosa ya huyu jamaa yote. sasa msimu huu ndio tutajua kama mugalu ni mpuuzi. huyu jamaa ndio ameharibu mfumo wote wa timu leo. huwezi pata nafasi 4 za wazi alafu usigongeshe hata mwamba. Onyango alikuwa striker mzuri kuliko mugalu. ila time will tell muache kocha aendelee kumpanga
 
Tumesajili Viungo wengi lakini Tumejisahau kwenye kusajili Striker.

Strikers wetu wote ni Wazee wa kulea Wajukuu.

Umri halisi najua wote wanazidi miaka 35 lakini huu Umri wao wa kwenye Vyeti vyao kuzaliwa vya kubumba pia sio Mdogo.

  • Bocco - 30 years
  • Mugalu - 32 years
  • Kagere - 33 years

Msimu ujao lazima tusajili Striker wa uhakika
 
Hii ni changamoto sana..viungu wetu ndo wanaisaidia sana timu. Tazama msimu ulioisha hai strikers walikuwa na magoli mangapi?

Ni kweli tuna hitaji..mhilu ameongezwa pale ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…