Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Pumbavu kabisa,kweli u mbumbumbu ni kilema,sisi tunajiandaa na mchezo wao wanashangilia mabasi kama vile hawajahi kuona magari. Ingekuwa vema yale mabasi 3 moja lingecheza beki,lingine kiungo na lingine pale kwa mugalu [emoji16]
 
mkuu haya maneno nimeongea sana mkuu. huyu mugalu si wakuchezea timu kama simba. luis na chama walikuwa wakifunga na timu kutoka na ushindi mashabiki walisahau makosa ya huyu jamaa yote. sasa msimu huu ndio tutajua kama mugalu ni mpuuzi. huyu jamaa ndio ameharibu mfumo wote wa timu leo. huwezi pata nafasi 4 za wazi alafu usigongeshe hata mwamba. Onyango alikuwa striker mzuri kuliko mugalu. ila time will tell muache kocha aendelee kumpanga
Msikubali mtandikeni makofi mungalu
 
Pumbavu kabisa,kweli u mbumbumbu ni kilema,sisi tunajiandaa na mchezo wao wanashangilia mabasi kama vile hawajahi kuona magari. Ingekuwa vema yale mabasi 3 moja lingecheza beki,lingine kiungo na lingine pale kwa mugalu [emoji16]

Leo umefurahi na wala huna habari na TFF wala Karia, lakini itakapofika muda wa Simba kufurahi usije ukaanza kulialia na TFF na Karia.
 
Back
Top Bottom