Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Vigezo na masharti vya CAF vimezingatiwa,daraja la leseni yake havijakizi vigezo.Coacher Gomez simuoni... Kulikoni?
Ndio uwekezaji huo. [emoji12][emoji12]Barbraaa .. mwijaku hafai.. sijui nani aliwapa huo ushauri
Wametukosea sanaBarbraaa .. mwijaku hafai.. sijui nani aliwapa huo ushauri
Nimekuwa nikisoma kwamba Mwijaku hafai, lakini wanaosema hivyo hawatoi sababu. Natamani nimsikie mmoja akitoa sababuBarbraaa .. mwijaku hafai.. sijui nani aliwapa huo ushauri
Hapo sasa😀Nimekuwa nikisoma kwamba Mwijaku hafai, lakini wanaosema hivyo hawatoi sababu. Natamani nimsikie mmoja akitoa sababu
Lini Simba wametangaza kuwa Mwijaku ni Mfanyakazi wa Simba ?Barbraaa .. mwijaku hafai.. sijui nani aliwapa huo ushauri