The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Sawa mkuu[emoji119][emoji119][emoji119] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yes Manula atamuweka benchi Diarra bila shida yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu[emoji119][emoji119][emoji119] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yes Manula atamuweka benchi Diarra bila shida yoyote.
Kwenye Central Defence hamna mchezaji yoyote pale Yanga anayeweza kuvaa viatu vya Wawa, Onyango, Henock na Kennedy.Sawa mkuu[emoji119][emoji119][emoji119] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye Central Defence hamna mchezaji yoyote pale Yanga anayeweza kuvaa viatu vya Wawa, Onyango, Henock na Kennedy.
Unaipenda TPB Bank eeehhhGoal la Kanoute naweza enda ombea mkopo Bank ya TPB. [emoji3590][emoji3590]
Pass ya KD nalia ugali bila mboga, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Goal la Sakho nashiba bila kula. [emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
Nasikia mmemsajili mchezaji wenu aliyeshindwa kuonesha makali yake katika club za watu. Ila Tuisila anazidi kukamua na kusonga mbele.nguvu ya umma!!, hivi kweli J.Bocco anafaa kubakia???
Ndyooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaipenda TPB Bank eeehhh
Ushalipa 29000 ya GSM[emoji16]Nasikia mmemsajili mchezaji wenu aliyeshindwa kuonesha makali yake katika club za watu. Ila Tuisila anazidi kukamua na kusonga mbele.
Wako busy kuishangilia Azam. Huo muda wataupata wapi. Teh teh.Watu wa hii timu majeuri sanaaaaaa,yaani pira lote la jana hakuna hata comment humu toka tar 6?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
wana mawazo ya penalt ya yasinWako busy kuishangilia Azam. Huo muda wataupata wapi. Teh teh.
Haiwasaidii cha zaidi itawapotezea muda. 🤣🤣wana mawazo ya penalt ya yasin
Haiwasaidii cha zaidi itawapotezea muda. 🤣🤣
Wawe busy na uzi wao na sio Yanga.Unawashauri nin sasa ?