Huu uzi ni wa kishamba sana, huwa wanasubiri timu ishinde ndiyo waje humu kutekenya vidole, ndiyo maana hata idadi ya pages za huu uzi zimeachwa mbali mno na zile za uzi wa Yanga.

Yani uzi wa Yanga ni kama ule wa Manchester united, fans wote badala wapambane na nyuzi za timu zao wako bize na uzi wetu.
 
Watu wa hii timu majeuri sanaaaaaa,yaani pira lote la jana hakuna hata comment humu toka tar 6?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Uzi wa kindezi sn huu, unaweza kukaa hata mwezi bila comment. Nashauri huu uzi ufutwe, wa Yanga unatosha cz mashabiki wote tunakutana kule, huu uzi unasumbua server za JF tu hauna maana.
 
Uzi mmeususa mnajazana kwenye uzi wa united tu
Inasababishwa na nyuzi zinazoanzishwa kila Simba wanapocheza.

Kingine kwenye social media zingine wako strong sana ndiyo maana interaction hapa ni ndogo.
 
Uzi wenu umejaa malalamiko utaacha vipi kuwa na pages nyingi?
 
Inasababishwa na nyuzi zinazoanzishwa kila Simba wanapocheza.

Kingine kwenye social media zingine wako strong sana ndiyo maana interaction hapa ni ndogo.
Yale manyuzi ya ovyo ovyo ya simba ni heri admn akawa anayatupia humu watu wadiscuss


We simba ikicheza mtu anaanzisha uzi na kutoa update wakati alikua na uwezo wa kufanya ili jambo humu ndani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…