Pia Mzamiru huwa ana umuhimu mkubwa sana kwenye game za ugenini ila tunamchukuliaga poa

Sana , Mzamiru ana ile driving force inasaidia kupandisha timu. Lakini pia anaingia sana kwenye uvungu wa timu pinzani na kuharibu move zao.
 
Kati ya jembe amabalo kocha anazingua kulitumia ni Kennedy.....alipoingia aliokoa na kutibua mipango ming sana...........!!!
Nafikiri TFF ingeweka sheria ya wachezaji wa ndan kutumika zaid il tuweze kuwa na kikos cha Taifa active......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…