Leo ni leo Benjamin mkapa
Kwa wale wenzangu wa DSTV chanel 225 Football wataonyesha
 
STAR TIMES CHANNEL NAMBA 197 KWA LUGHA YA KISWAHILI

LIVE LEO; SIMBA vs RS BERKANE

SAA; 10:00 JIONI
 
Wanasimba kuna mambo mazuri yanakuja...haya aliyasema #BossMO kwenye instaLive yake!...huenda msimu ujao tukawa na safu bora ya ushambuliaje.



Ikumbukwe siku kadhaa zilizopita...moses phiri alituma picha kwenye insta page yake akiwa amevaa tshirt ya mnyama.

 
Linapofika suala la Kimataifa hakuna timu kama Simba SC Afrika Mashariki na Kati.

Simba SC Nguvu Moja..Taifa Kubwa
 
Utajiri Wa kurithi una shida sana;
1. Matajiri Wa hivi huwa wanataka kuabudiwa sana na masikini
2. Huwa ni mbumbumbu hata hesabu za kujumlisha ni shida!

Rejea 20+25= 85!

Kila la heri ASEC MIMOSAS!
Aatafuta kukazwa huyu. Ngoja kiherehere kikusosomole
 
Wachezaji wetu wlaioitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini kwa
mechi za kirafiki kwenye kalenda ya FIFA.
▪️ Aishi Manula
▪️ Israel Mwenda
▪️ Shomari Kapombe
▪️ Mohamed Hussein
▪️ Mzamiru Yassin
▪️ Jonas Mkude
▪️ Kibu Denis
#NguvuMoja https://t.co/3uJ9pmHNYT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…