Wana Simba wenzangu hivi wapi naweza kucheki game ya leo dhidi ya Orlando pirates?
 
Simba is better than OP na sasa timu mbovu imeingia nusu fainali
 
Mugalu bure kabisa....

Game ilikuwa level hadi mugalu alipocheza rafu, ...then mambo yakabadilika.
 
Acha lawama za kipuuzi mugalu katoka possession 64% kwa 36% shoots 11(3) kwa 2 halafu et game ili balance
Mugalu bure kabisa....

Game ilikuwa level hadi mugalu alipocheza rafu, ...then mambo yakabadilika.
 
Mugalu bure kabisa....

Game ilikuwa level hadi mugalu alipocheza rafu, ...then mambo yakabadilika.
Tatizo haikuwa Mugalu
Tatizo Kocha hakuwaandaa wachezaji kisaikolojia kucheza pungufu na pia kupiga penalti. Lakini pia OP walipanda morale baada ya Mugalu kutolewa ndipo wakapata bao lenye utata kwa sababu yawezekana mfungaji alikuwa offside.
All in all OP walikiwa wabutuaji wazuri, hawakuwa na mpira wowote. Simba waliangushwa na kukosekana kwa Morison kumewafanya simba wasiwe wabunifu kule mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…