Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
hatuna Kocha,Pablo ni Choko kama Machoko wengine,na hatuwezi kwenda popote kwa kutegemea MUGALU,KIBU,BOCCO au KAGERE,wote hawa ni MACHOKO waondoke
Mkuu huu ushabiki siyo wa kiungwana kabisa hawa watu wamekufurahisha mfululizo miaka minne wapoteze mechi moja tu wageuke kuwa machoko ???

Kwahiyo miaka yote waliyokuwa wanashinda makombe walikuwa machoko ???
 
Kina
1. Bocco
2. Kagere
3. Nyoni
4. Wawa
5. Bwalya
6. Lwanga
7. Mhilu
8. Jimmyson
9. Ally salum
10. Gadiel
11. Mugalu
Nk hawa nao tunaomba waaachwe wakatumikie timu zingine
 
Shida ilianzia Hapa [emoji23]
IMG_20220601_131203.jpg
 
Hivi humu hamjamiss kuiona Yanga ikicheza? Mimi uzalendo unanishinda!
 
  • Dislike
Reactions: Lee
Back
Top Bottom