Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Tupe viwango vya ubora wa vilabu barani Afrika..timu zipi zinaanzia hatua ya awali na timu zipi zinaanzia hatua ya kwanza. Huko ndo kunautofauti siyo hayo mapambio hata wafunga ndoa wanafanya
 
20220629_185311.jpg

namna tumemaliza msimu huu, tujipange kwa msimu ujao!.
 
Inabidi tuwashinikize viongozi wetu wa simba watuambie Shilingi 85 alizosema Boss Mo aliziweka kwenye Akaunti gani.

Kuna benki hapa Tanzania inapokea Shilingi 85?
 
Huyu msemaji wetu Ahmed me ameanzq kunitoka anaropoka ropoka sana

Simba mashabik zake wengi wana elim na wanajitambua hapaswi kuwa anaropoka ropoka utadhan msemaji wa Uto
 
Huyu msemaji wetu Ahmed me ameanzq kunitoka anaropoka ropoka sana

Simba mashabik zake wengi wana elim na wanajitambua hapaswi kuwa anaropoka ropoka utadhan msemaji wa Uto
Sio anaropoka bali ndiyo uwezo wenu ulipoishia hapo.
Screenshot_20220713-165359.jpg
 
Richard Boadu Agadas what a player!!!!, proper Bwalya replacement.
 
Back
Top Bottom