Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya kipumbavu sn hii.
Sio anaropoka bali ndiyo uwezo wenu ulipoishia hapo.Huyu msemaji wetu Ahmed me ameanzq kunitoka anaropoka ropoka sana
Simba mashabik zake wengi wana elim na wanajitambua hapaswi kuwa anaropoka ropoka utadhan msemaji wa Uto
Waliokata tamaa ni mashabiki mandazi tuSimba wamekuwa baridiiiiiiiiiiii. Labda wana hasira za kisirisiri.Mashabiki tumekata tamaa dhidi ya simba.Sidhani kama msimu huu watafurukuta kama ulivyo kuwa msimu uliopita.
Why simba?