Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hizi ndo mechi zenu sasa
Aisee Mkuu umewafuata mpaka huku. 🤣🤣🤣Ondoeni Wasiwasi Kabisa Kuhusu Sare Dhidi Ya Azam Naomba Nichukue Nafasi Hii Kuwahakikishia Kuwa Simba Tunaenda Kuwa Mabingwa Wa NBC Premier League 2021/2022 [emoji4]
Kwa Madiba tuliambiwa tuongeze na Uchawi utatuvusha!Asante sana Mwamedi kwa kuwekeza kwa Marefa na baadhi ya wachezaji pinzani mdio maana tunashinda kwa njia mbalimbali ikiwemo ya matuta, ufanye tena kule kwa Madiba
Hawa Mbwaaa Lazima Nilale Nao Mbele Walitupigia Sana Kelele Na Maneno Ya Dharau Sana Eti Watatawala Soka La Tanzania Kwa Miaka 10.. Kumbe Ushindi Wao Ni Wa Kutumia Ndumba Tu Mbwaa Kabisa [emoji23]Aisee Mkuu umewafuata mpaka huku. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]