nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ni mchezaji wa kawaida tu hana maajabu.tukimpata nelson okwa tutakua tumemaliza tatizo la kiungo msimbazi, comb yake na chama itakua ze best in simba history.
mfuatilie mkuu, utakubaliana nami.Ni mchezaji wa kawaida tu hana maajabu.
Kwanza ni mfupi mno.mfuatilie mkuu, utakubaliana nami.