nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ukizingatia squad yetu imeanza kuwa na watu wengi wafupi kwenye michuano ya CAF itatusumbua.😀😀😀 dah, kama messi tu.
ni kweli ila kinachofurahisha, wafupi wengi wapo kwenye eneo la kiungo tuUkizingatia squad yetu imeanza kuwa na watu wengi wafupi kwenye michuano ya CAF itatusumbua.
Na hilo ndiyo eneo muhimu kwa timu yetu.ni kweli ila kinachofurahisha, wafupi wengi wapo kwenye eneo la kiungo tu
backline ina watu warefu
Tatizo hapo ni nini haswa ??? Auu!!!! Ahaaa ni yaleee alisema Manara kuwa Wooote kasoro Baba yake na Mzee Kikwete , wengine ni nanihii [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji196]