nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978

Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania
·
1h
"Kuhusu jezi msimu huu tumeacha kwenda kule hung haa (China), sasa jezi zetu zinatoka Ulaya, hazitoki tena Asia. Wiki hii tunazindua."- Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu. #SimbaDay #SimbaDay2022 #NguvuMoja