Dduh [emoji23]
 
TUNALAANI KUBAGAZA UKIRISTO KWA KUTUMIA TAMASHA LA SIMBA.

Kwa Imani yetu msalaba ni ishara ya ukombozi wetu na ukiristo wetu, msalaba tunauheshimu tunautanguliza mbele kuonyesha uimara wa ukiristo wetu.

Hatutegemei msalaba kutumika kukejeli, kudharau au kunagazwa popote pale kwa nia yoyote ile. Msanii aliyebagaza imani yetu yeye ni imani nyingine ( Islamic ) na tunajua wana utaratibu wao wa kufanya mazishi kama lengo ni mazishi kwa nini hakutumia taratibu za Imani yake!?

Au kwa kuwa msemaji wa Simba ni muislam mwenzake au kwa kuwa alimia kubwa ya Viongozi wa Simba ni waislam ndo maana akubagaza dini yake?.

Tunazitaka mamlaka hasa Basata, TFF na BMT kulaani na kuchukua hatua kwa wote waliohusika kudharirisha msalaba wetu na ukiristo wetu.

Simba kwa kuwa wamebariki kitendo hicho ndo maana hadi sasa wapo kimya nao wachukuliwe hatua na wajitokeze kuwaomba radhi wakiristo wote nchini na Duniani kote.

Mwisho tunawakumbusha kama mnafanya jambo lenye mchanganyiko wa watu wenye Imani tofauti msichague Imani moja iwe ya kubagaza na kutaka itumike kufikisha ujumbe wa kifedhuri mbele ya jamiii.
 
Mnakuza sana mambo madogo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Tumekuelewa DIGALA tajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…