Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Yani maaamae hata picha za Simba day hazijapostiwa humu!!! Tunakwama wapi maaamae sisi!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dduh [emoji23]Mkaona muicrop hii picha na kuja kuongezea wachezaji wa Simba waliyokuwa juani, hadi Sakho usoni anaonekana yupo juani. Bado mkasahau mida ambayo mlitangaza hii, Sakho hakuwa amerudi Misri tangu alipoenda Morocco kaja kuingia mchana.
Sijui hii aliicheza ndotoni?
[emoji114]tuache hiyo list ya wafungaji mliyowaweka hapo, huyo Donga ana miezi zaidi miwili hachezi ni majeruhi, sijui hilo goli kafungia kitandani. View attachment 2301730
Kuna wasaka fursa Fulani humu wanajifanya wafia timu huku hata soka hawajui likoje.Mashabiki wa Simba hovyo sn, timu ikifanya vby huwaoni humu ndani.
Mnakuza sana mambo madogo..TUNALAANI KUBAGAZA UKIRISTO KWA KUTUMIA TAMASHA LA SIMBA.
Kwa Imani yetu msalaba ni ishara ya ukombozi wetu na ukiristo wetu, msalaba tunauheshimu tunautanguliza mbele kuonyesha uimara wa ukiristo wetu.
Hatutegemei msalaba kutumika kukejeli, kudharau au kunagazwa popote pale kwa nia yoyote ile. Msanii aliyebagaza imani yetu yeye ni imani nyingine ( Islamic ) na tunajua wana utaratibu wao wa kufanya mazishi kama lengo ni mazishi kwa nini hakutumia taratibu za Imani yake!?
Au kwa kuwa msemaji wa Simba ni muislam mwenzake au kwa kuwa alimia kubwa ya Viongozi wa Simba ni waislam ndo maana akubagaza dini yake?.
Tunazitaka mamlaka hasa Basata, TFF na BMT kulaani na kuchukua hatua kwa wote waliohusika kudharirisha msalaba wetu na ukiristo wetu.
Simba kwa kuwa wamebariki kitendo hicho ndo maana hadi sasa wapo kimya nao wachukuliwe hatua na wajitokeze kuwaomba radhi wakiristo wote nchini na Duniani kote.
Mwisho tunawakumbusha kama mnafanya jambo lenye mchanganyiko wa watu wenye Imani tofauti msichague Imani moja iwe ya kubagaza na kutaka itumike kufikisha ujumbe wa kifedhuri mbele ya jamiii.
Mnakuza sana mambo madogo..
#MaendeleoHayanaChama
Tumekuelewa DIGALA tajiri.Anaandika Shaffii Dauda
Kuna dunia ambayo Simba wanaishi, ni dunia ambayo wanaamini hakuna makosa, wanaamini ni wakubwa, wanaamini kila kitu kinachofanyika ni sahihi sana
Hata pale ambapo wameharibu watahitaji kupamba na kuonekana hawajaharibu, hata pale watapopaswa kuambiwa maneno machungu ya ukweli watahitaji nyimbo za mapambio
Siku chache zimesalia kuelekea Ngao ya Jamii hawana jezi mpya, masaa yamesalia kuelekea Simba Day hawana jezi mpya, lakini ndio klabu hii ambayo tunalazimishana kuiita kubwa, klabu yenye weledi? Excuse me
CEO kama Mtendaji wa klabu you are in for this, suala la jezi sio option ni lazima, suala la merchandise ni compulsory na linafahamika, inatia ukakasi kwa namna mnavyoyaendea mambo, inafikirisha sana
DIGALA siwezi kukubali kuwa kwenye dunia ya praise and worship, sio dunia nzuri ya kuficha makosa na kuonekana mema, sio dunia nzuri mambo yakienda mrama watu wasake namna ya kujificha sio sawa na hii ni AIBU
Kwa Shabiki wa Simba anayejua mpira na kuelewa maana ya biashara anafahamu kuwa hili mmeharibu, lakini kwa Shabiki yule oya oya tu ataona DIGALA nachonga, ataona Digala ana nongwa ila in details nawapa dawa ya kuwaponya
Kwakuwa hili mmeshaharibu sio vyema msimu wa 2023/24 mkarudia tena makosa, hakuna excuse kwa matukio ambayo yana time frame, hakuna excuse ya Mdhamini wala usafiri, jezi sio suala la bahati mbaya
Hakuna wimbo wa maana utakaotungwa kuepusha aibu hii, hakuna wimbo utatungwa kuepusha kadhia hii, ndio ni klabu maarufu sasa pambaneni kuusaka UKUBWA, ukubwa una details zake, ukubwa una indicators zake, BADILIKENI
DIGALA naamini mpira ni darasa kubwa, utawala ni darasa kubwa, muda wa kuendelea kujifunza upo na naamini tukae darasani kama Wanafunzi watiifu na sio Walimu wakorofi
DIGALA