Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Kazi wanayo. Lete mdhunguu lete mdhunguu.Mjapani wa Geita anapiga kwenye mshono...
sawaTumekuelewa DIGALA tajiri.
Ni maandalizi sahihi kabisa kwa ajili ya Timu . Haya mashindano yana ushindani ndani yake nimekua nikifuatilia usajili wa timu zote izo wapo vizuri hasa Al Hilal chini ya Florent Ibenge wamesajili san quality na young players.
Halafu sijafualilia aiseewakuu Ghazwat OKW BOBAN SUNZU Scars
hivi mnaiona hii Simba Queens lkn?
inabidi ifunguliwe thread sasa!!
Colonel himself