Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
KWA SIMBA HII TUNAWAOMBA ARSENAL FRIEND MATCH [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Simba ikicheza Tanzania mpka caf wanakuwa na furaha last born wa caf [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
LEO IKIFIKA DAKIKA YA 24 WANA SIMBA WOTE TUNASIMAMA KUPIGA MAKOFI NA KUAZIMISHA MIKA 24 YA UTOPOLO BILA KUINGIA MAKUNDI CLUB BINGWA CAF[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
VIVA CLUB AFRICAIN [emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nyoni leo kaharibu full back ya kulia ya uhakika ni kapombe tu ndy ana uwezo wa kuzuia na kuweka cross za ushindi
Kyombo nae amefeli leo timu imecheza kwa kiwango cha chini sana sub za kocha anazofanya hazieleweki..
ni kweli lkn wachezaji wengine hawapo vizuri kiafya ndio maana hata sub hawakuwepo. wewe kwa ushauri wako ile team iliyokuwa bench ulitaka aingie nani?
 
Back
Top Bottom