Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Sisi ni Mafala yanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unadhani kwa nini Sakho hakupangwa mapema badala yake unakuwa na wachezaji kama kyombo na Nasor kapama kwenye mechi kubwa kama hii?!ni kweli lkn wachezaji wengine hawapo vizuri kiafya ndio maana hata sub hawakuwepo. wewe kwa ushauri wako ile team iliyokuwa bench ulitaka aingie nani?
Acha zako hizo; wewe ni utopolo damu damuInaumiza sana timu inacheza bila mpangilio. Acha tuitwe makolo.
niambie match ya mwisho ambayo sackho amefanya maajabuHivi unadhani kwa nini Sakho hakupangwa mapema badala yake unakuwa na wachezaji kama kyombo na Nasor kapama kwenye mechi kubwa kama hii?!
Sisi ni Mafala yanii
Cha nguruwe hatari.Mmeliwa kimoja 😂😂😂😂😂😂😂😂
Unashinda nini? leo kuna draw au kipigoTunawakosa chama, okrah, mwanuke, israh lakini najua tutashinda mapema tuuu, simba nguvu moja.
Hivi mlishinda eehh?Tunawakosa chama, okrah, mwanuke, israh lakini najua tutashinda mapema tuuu, simba nguvu moja.
Lengo lenu na nani ?Hakuna timu hapa Afrika mashariki na kati inaweza kumiliki mpira mbele ya Yanga, labda wapate magoli ya ndondokela kama Vipers au Al hilal lkn sio kumiliki mpira mbele ya YANGA.
Yani Yanga hii mwakani malengo yetu ni nusu fainali klabu bingwa, hii shirikisho lazima tucheze fainali lkn co michuano yetu hii, sisi tunataka klabu bingwa ambayo mwakani lengo letu nusu fainali.