Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
ni kweli lkn wachezaji wengine hawapo vizuri kiafya ndio maana hata sub hawakuwepo. wewe kwa ushauri wako ile team iliyokuwa bench ulitaka aingie nani?
Hivi unadhani kwa nini Sakho hakupangwa mapema badala yake unakuwa na wachezaji kama kyombo na Nasor kapama kwenye mechi kubwa kama hii?!
 
Nmekuja kuhani msiba
IMG_20221015_211819.jpg
 
Tunawakosa chama, okrah, mwanuke, israh lakini najua tutashinda mapema tuuu, simba nguvu moja.
 
Hakuna timu hapa Afrika mashariki na kati inaweza kumiliki mpira mbele ya Yanga, labda wapate magoli ya ndondokela kama Vipers au Al hilal lkn sio kumiliki mpira mbele ya YANGA.

Yani Yanga hii mwakani malengo yetu ni nusu fainali klabu bingwa, hii shirikisho lazima tucheze fainali lkn co michuano yetu hii, sisi tunataka klabu bingwa ambayo mwakani lengo letu nusu fainali.
 
Lengo lenu na nani ?
 
Wahuni wa TieFueFu inazikumbusha timu za Simba na Yanga zinazoshiriki mashindano ya "CUF" hakutakuwepo na kuhairishwa kwa mechi zao za ligi iwapo mechi inayofuata itakuwa imepishana kwa siku 2, siku ya 3 mechi ya ligi lazima ichezwe hata kama timu imecheza mechi nje ya Bongo.

Ndio maana timu zimeruhusiwa kusajili wachezaji 30, ukiona shida nenda nje ya nchi na wachezaji 18, wachezaji 12 wabakize Bongo .
 
Back
Top Bottom