Inakuwaje tunaojihita wa KIMATAIFA kwenye tangazo letu la kuwatakia Waislamu Ramadhani Kareem tumeweka majina ya WADHAMINI wetu?




Tuache ushamba.
 
Naomba kuuliza ni wapi alipo kiungo sawadogo , je ni majeruhi au kocha hampangi tu?
 
#MICHEZO KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (@TaifaStars_), Adel Amrouche amewaita nyota wawili wa @SimbaSCTanzania , Mohammed Hussein (Zimbwe) na Shomary Kapombe katika kikosi cha timu ya Taifa Stars baada ya timu hiyo kurejea nchini jana.

Tshabalala na Kapombe wameingia kambini jana kuungana na wenzao katika maandalizi ya timu hiyo kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda (The Cranes).

Mchezo huo ni muhimu kwa Tanzania ambao ni karata pekee ya kuingia katika fainali za AFCON kwa kuhakikisha wanapata matokeo mazuri siku ya jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Saa 1:00 usiku.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
 
Kwa ss ubishi umeisha, Yanga ndiyo timu bora zaidi East and Central Africa.
 
Watanzania tumpe kura nyingi kijana wetu tuzidi kuipeperusha bendera ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…