Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
[emoji23][emoji23]
20230221_202104.jpg
 
Simba akiwa Bora 💯 kuna mtu anapokeaga kichapo cha mbwa Koko na aibu
Huwaga azikosekani hizi
4_1
3_1
5-0
Lakini yeye akiwa Bora 💯 toka Tu hapo 2010 mpaka sasa ajawai shinda hata 3_0
 
Yaani mpaka sasa tajiri Mwamedi ampigie mwenzie Bakhressa japo iwe draw hahahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa. Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC buana.
Ulikosea kuwapa mbinu hii wakushukuru sana, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kifungashio fc, bahasha fc, kolokolo fc, wazee fc malalamiko fc,ngada fc, aka kinyume nyume fc ,, mutupe maelezo yule alie wafungia gori mumemlipa shingapii!??

Gori la mchongo kabisa, nyie hamkustahili hata sare mushukuru na marefa wote walikua upande wennu,,nivile tu siku hizi hata ambebeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muanze Kwanza nyinyi 🐍 fc na ruvu yule beki aliejifunga mlimpa shingapi? na sisi tunakuja kujibu
 
Kifungashio fc, bahasha fc, kolokolo fc, wazee fc malalamiko fc,ngada fc, aka kinyume nyume fc ,, mutupe maelezo yule alie wafungia gori mumemlipa shingapii!??

Gori la mchongo kabisa, nyie hamkustahili hata sare mushukuru na marefa wote walikua upande wennu,,nivile tu siku hizi hata ambebeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ile red card refa kameza filimbi.
 
Ila mi mpaka leo sijaelewa seriousness ya wana msimbazi iko kwenye mambo gani hasa. Hivi lengo la kumleta Manzoki siku ile jukwaani lilikuwa lipi? Timu kama hii kweli inaweza kuwa na mipango ya maana ya maendeleo?
 
Kocha wenu anachekesha sana,yaani unasawazisha,kibao kinasimama dk 5 unaenda kushangilia na mashabiki Jukwaani,ni zaidi ya Uzuzu
 
Ila mi mpaka leo sijaelewa seriousness ya wana msimbazi iko kwenye mambo gani hasa. Hivi lengo la kumleta Manzoki siku ile jukwaani lilikuwa lipi? Timu kama hii kweli inaweza kuwa na mipango ya maana ya maendeleo?
Simba ni timu inayoendeshwa kihuni huni na kizamani sana.
 
Kituo kinachofuata ni Real Bamako, angalia mechi zao tano za mwisho alafu angalia mechi tano za mwisho za Yanga, wallahi tutamtafuna kama karanga [emoji1645]

My prediction: Real Bamako 1vs 5 Yanga
Screenshot_20230224-154737.jpg
 
Back
Top Bottom