Wakuu mmeshaanza kuweka list ya kesho? mi naona iwe hivi.
Manula golini
Kushoto Shabalala Kulia Kapombe
Kati kama kawa Babu Onyango na Inonga (stop engine)
Holding midfilders kama kawa - Kanoute na Mzamiru
Attacking midfielders - Chama kushoto, kati Saidoo na Kulia tuanze na Kibu Denis
Mbele kama kawa haina kupepesa macho, muuaji yule yule wasiempenda JINI -balekeeeeeeeeee
Dakika ya 60, tunaona Option ya kumtumia Shakho kwenye wing so Denis atatupisha kidogo, kama Kapombe pumzi itapungua basi dogo machachari Mwenda ataingia kumalizia kazi - pia Papaa kwa heshima tutampa Dk 15 kumalizia mchezo maana kazi itakuwa isheishaaa.
Kwa hiyo watakaosubiri ni Ally, Mwenda, Shakho, Papa John, Erasto Nyoni, Kenedy Juma, Mkude, Banda.