Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kweli
Mechi nyingi tulizomfunga Utopolo tulitumia mbinu za nje ya uwanja kama kuonga baadhi ya wachezaji wao mahiri ila wakati huu imekuwa ngumu.

Ndio maana Utopolo wale wachezaji wasaliti pamoja na kuwa kwenye viwango vizuri walipowagundua waliachana nao ndio usalama walio nao sasa.
ww kitimoto akili zako kama huyu mdudu
 
Yani Vipers kafungwa mpk na Simba tena nje ndani ndio itakuwa Yanga hii?

Kama Vipers vidume wenu, Ihefu vidume wenu, wote wamefungwa na Simba nje ndani, Yanga haiwawezi Simba aslan labda kwa ndumba tu
 
Wakuu mmeshaanza kuweka list ya kesho? mi naona iwe hivi.
Manula golini
Kushoto Shabalala Kulia Kapombe
Kati kama kawa Babu Onyango na Inonga (stop engine)
Holding midfilders kama kawa - Kanoute na Mzamiru
Attacking midfielders - Chama kushoto, kati Saidoo na Kulia tuanze na Kibu Denis
Mbele kama kawa haina kupepesa macho, muuaji yule yule wasiempenda JINI -balekeeeeeeeeee

Dakika ya 60, tunaona Option ya kumtumia Shakho kwenye wing so Denis atatupisha kidogo, kama Kapombe pumzi itapungua basi dogo machachari Mwenda ataingia kumalizia kazi - pia Papaa kwa heshima tutampa Dk 15 kumalizia mchezo maana kazi itakuwa isheishaaa.

Kwa hiyo watakaosubiri ni Ally, Mwenda, Shakho, Papa John, Erasto Nyoni, Kenedy Juma, Mkude, Banda.
 
Wadau samahani nauliza hivi ukinunua tuketi kupitia simu ukienda pale uwanja kuitizama Simba ikimfunga yanga bao tatu watajuaje kama tiketi nimenunua kwa simu?
 
Kama kungekuwa na uwezekano wa kuikwepa hii mechi au ingekuwa sio lazima kucheza hii mechi basi Simba wangeikwepa hii mechi mana Yanga ni lidude fulani likuubwaaa ambalo kuna watu wanaliogopa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ni kweli basi huu sasa ndo mbadala sahihi wa zimbwe jr sio yule gadiel nyau yule.
Screenshot_20230416-023909_Instagram.jpg
 
Kila la kheri simba
Nguvu moja
Halla simba [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3532][emoji3532][emoji3532]
 
Kama kungekuwa na uwezekano wa kuikwepa hii mechi au ingekuwa sio lazima kucheza hii mechi basi Simba wangeikwepa hii mechi mana Yanga ni lidude fulani likuubwaaa ambalo kuna watu wanaliogopa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakusalimia ndugu. Kwema lakini???
 
Dunduka lingine hili hapa sijui limeamkia wapi, yani Simba amfunge Yanga ulisikia wapi, mna quality ya kuweza kupambana na Yanga?
Wee churaa kaa kimyaaa, huna unacho kijuaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom