Moho tuachie timu yetu, umezidi utapeii ondoka kuanzia sasa tuiendeshe wenyewe
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
 
Kama Taifa zima lilivyopata simanzi juzi baada Yanga kupoteza mchezo wa pili wa fainali pale Algeria, ndivyo simanzi ilivyotanda 1993 baada ya Simba kupoteza fainali dhidi ya Stella Abidjan 1993.

1993 Yanga walifurahi sana Simba kupoteza, 2023, Simba imelipiza kisasa kufurahi.

 
Nyie endeleeni kuzubaazubaa na kujilinganisha na Yanga wenzetu wanazidi kuwapiga gape tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…