Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaangalie tena ile clip ya goal la faulo la jana alilofunga beki baada ya kuluka akainama hujuma nyingi sanaSimba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.
Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!
Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
View attachment 2652481
Ni kumbukumbu kwa baadaye tunaendelea kuziwekaNenda kaangalie tena ile clip ya goal la faulo la jana alilofunga beki baada ya kuluka akainama hujuma nyingi sana
Ndio maana tunataka uchunguzi ufanyike.Nenda kaangalie tena ile clip ya goal la faulo la jana alilofunga beki baada ya kuluka akainama hujuma nyingi sana
Nyie endeleeni kuzubaazubaa na kujilinganisha na Yanga wenzetu wanazidi kuwapiga gape tu.Kama Taifa zima lilivyopata simanzi juzi baada Yanga kupoteza mchezo wa pili wa fainali pale Algeria, ndivyo simanzi ilivyotanda 1993 baada ya Simba kupoteza fainali dhidi ya Stella Abidjan 1993.
1993 Yanga walifurahi sana Simba kupoteza, 2023, Simba imelipiza kisasa kufurahi.
View attachment 2668711
KIgamboni au wapi?Nyie endeleeni kuzubaazubaa na kujilinganisha na Yanga wenzetu wanazidi kuwapiga gape tu.View attachment 2668799
Kaunda pale pale.KIgamboni au wapi?
Sahau. Next year niulize kwa nini?Kaunda pale pale.
Kwa nini.Sahau. Next year niulize kwa nini?
Yanga ishatoka huko mkuu.
SUbiri mwaka kesho mkuuKwa nini.
Ila ukae ukijua rais wa Yanga ni Hersi na sio Msola.S
SUbiri mwaka kesho mkuu
Yanga ishatoka huko mkuu.