Mazembe walikua sahihi kumuachaKama mchezaji hawezi kuamua mechi kubwa basi huyo ni average player hatufai kumwita Pro ndani ya Simba .. upo sahihi kiongozi.
One to one - clear chance yeye na kipa ama yeye na beki mmoja - Baleke kafeli kwa 80%. Hatufai.
ONANA aaminiweKauli yangu bado naendelea nayo ndugu,,, ONANA na ndugu yake BALEKE "mzee wa mechi ndogo na tap-in zake" siyo mahitaji yetu....
SawaSimba nguvu moja 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatuachi kombe lolote msimu huu
We hua ni Putin gani mbona mwehuSimba nguvu moja 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatuachi kombe lolote msimu huu
Ana miaka mingapi hapo ukoloni?Sijawahi kuelewa kitu Babacar Sarr anafanya uwanjani…kama kuna mtu anaelewa aje anieleze
Teh teh teh teh teh teh....Simba nguvu moja 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatuachi kombe lolote msimu huu
Huyu kocha hanaga muda wa kudumu kweny timu yoyote Zaid ya mwakBenchikha anatupeleka nchi ta asali. Huyu wasimfukuze walau min 3 yrs.
MWAMBA AGAIN
ALLDBEST