Simba kuna shida, hakuna viongozi wa kuipambania timu wapo kwaajili ya maslahi yao.

Hakuna fighting spirit na bonus kwa wachezaji
 
I don’t think shida ni Mo ila waliopo chini ndio shida, first team fitness ni mbovu since Abel aondoke hawawahi kua sawa in fitness wise so awaanzie hapo.
Second wachezaji wanaowaleta,mfano nani alikua anamfahamu mayele kabla hajafika hapa tz,so scouting ni mbovu
Kuna mambo mengi chini ya Mo hayupo vzr hata aje nani,Babra at least she was doing amazing job ila fitna akatolewa
 
MIki binasfi sioni tatizo la Mo
Mo.pesa anatoa ndio maana wachezaji wanasajiliwa na hakuna anaedai mshahara
Shida yetu ni Try again hataki ushirikiano na wanasimba wenzie wazoefu kama Kina magori ambae kwa sasa ameausa kabisa shughuli za.simba
Mo baada ya kuona usajili una legalega akaamua aajiriwe Scout lakini ajabu scout hapewi ushirikiano wachezani anaowapendwkeza hawasajiliwi badala yake Try again analeta anaowajua yeye

Bado mo akaunda kamati ya ushauri ili waishUri bodi wapi mambo.hayako sawa Try again mpaka leo kagoma kukaa nao kikao hata kimoja

Mbona enzi ya Mo+ Magori mambo yalikuwa mororo
 
Kibegi fc
Tatu mzuka fc
Uzi umepoa sana hakuna update ya Cairo na Kigoma humu
 
NIMEONA WATU WAKIIPONDA SIMBA KUWA HAINA WACHEZAJI WA KUAMUA MECHI ! ILA SIO KWELI NI KOCHA TU ANAZINGUA KUWAPANGA KIBU NA SAIDOO NTIBAZONKIZA .LAITI KAMA ANAWAPANGA CHASAMBI NA LUIS MIQISON MBONA TUNASHINDA MAPEMA TU
 
NIMEONA WATU WAKIIPONDA SIMBA KUWA HAINA WACHEZAJI WA KUAMUA MECHI ! ILA SIO KWELI NI KOCHA TU ANAZINGUA KUWAPANGA KIBU NA SAIDOO NTIBAZONKIZA .LAITI KAMA ANAWAPANGA CHASAMBI NA LUIS MIQISON MBONA TUNASHINDA MAPEMA TU
Hili swali nimejiuliza mpaka cpati majibu hata game ya misri alimuacha Chasambi and sub zake mpk dk 80 no one can give results at such short time kwa timu za Africa.
Hii timu itamshinda kocha and ataondoka asipoangalia najua atasema hawana ubora but try tuone kweli wameshindwa ila kl kukicha Saido,Ngoma wkt Hamis,Kazi wangeweza cheza kigoma and he can refresh legs later
Hawa wenzetu tunawasifia wanajua yes but I think wazawa ni kuda wao pia kufanya makubwa km kipindi cha akina Bocco
 
Wewe utawekeza kiasi gani akiondoka MO?
 
Siku ya Jumamosi kabla ya mechi yetu na Utopolo tunawakaribisha kunywa supu ya Kitimoto ,.

Yule Nguruwe tuliyepewa zawadi tunategemea atawasilishwa klabuni Msimbazi siku ya Jumamosi.
 
Huyu Chama ni mchezaji mshenzi sana.

Your browser is not able to display this video.
 
Mechi na Dodoma imeahirishwa mpaka lini wakuu?
 
Tumepewa MBUZI mmoja kule Arusha na ukijumlisha na wale NGURUWE wanne wa Dodoma sasa hivi .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…