Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
kuna nini tena hapa kama yanga wanalia cc 2nacheka hii ndo wekundu wa msimbaz yan tatu bilaaaaa... Hakuna cha polisi wala mageneza ni kichapo 2uuu
 
Simba leo kushika usukani ikiifunga Polisi Tanzania kwenye mechi itakayofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma...
Simba itawakosa nyota wake watatu Emanuel Okwi, Hillary Echesa na Rashid Gumbo walio majeruhi.

Mungu ibariki Simba, tuongoze ligi.....
 
Chama kubwa ndo wanawasili uwanjani.
Watu wapo wengi wa kutosha
 
Wanaoiwakilisha simba: Juma Kaseja, Haruna Shamte, Amri Mafuta, Juma Said Nyoso, Kelvin Yondan, Kiemba, Samatta, Mussa Hassan Mgosi, Ochan, Nico Nyagawa, Jerry Santo
 
Dakika 32 Juma Kaseja umeumia baada ya kufuata mpira na kujigonga kwenye goli anatibiwa
 
Back
Top Bottom