mambo ya ajabu sana... wka mujibu wa matangazo ya TBC 1 mechi kati yake na wacomoro haijaanza kwa sababu baadhi ta wachezaji wa Simba hawana passports! Zaidi ya dakika 490 zimepita tangu muda mechi ilipotakiwa ianze!
Kuna tetesi kwamba mabingwa wa soka Tanzania Simba sport club wameinyuka Elan Club ya Komoro kwa mabao 4-2. Kwa matokeo hayo Simba itakutana na mabingwa watetezi wa kombe hilo Tp Mazembe Engrebet Mechi Itakayochezwa Stade de la kenya -Lubumbashi huko DRC. je tutaingoa mazembe?
naamini bao la pili linakuja
@crashwise, toto wanatubaniaga si unajua mwanza yanga wengi sana?? kwa hiyo upande wa pili wanaitumiaga sana kutuharibia, so hapo amini twacheza na toto na yanga nusu