Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
simba: Juma Kaseja, Juma Jabu,Juma Said Nyoso, Kelvin Yondani, Mohamed Simba Banka, Samata, Shiboli, Ochan, Musa Hasan Mgosi
 
mambo ya ajabu sana... wka mujibu wa matangazo ya TBC 1 mechi kati yake na wacomoro haijaanza kwa sababu baadhi ta wachezaji wa Simba hawana passports! Zaidi ya dakika 490 zimepita tangu muda mechi ilipotakiwa ianze!
 
Ati, wachezaji wa simba au wa timu ya comoro? kama hawana passport kule comoro waliendaje? au wamezisahau home? kweli soka wa bongo kiboko!
 
Kuna tetesi kwamba mabingwa wa soka Tanzania Simba sport club wameinyuka Elan Club ya Komoro kwa mabao 4-2. Kwa matokeo hayo Simba itakutana na mabingwa watetezi wa kombe hilo Tp Mazembe Engrebet Mechi Itakayochezwa Stade de la kenya -Lubumbashi huko DRC. je tutaingoa mazembe?
 
Jamani mnyama vipi huko kwenye uwanja wa CCM kirumba, nini kinaendelea...
 
kipindi cha pili dakika 48, toto 1-simba 0

walifunga goli la pili refa kasema kuna madhambi yamefanyika akalikataa

ila mchezo si mbaya sana tunaweza chomoa
 
dakika ni ya 60

goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo



simba wanapata bao la kusawazisha

simba 1 toto 1
 
sasa tumebadilika twawachezea kwelikweli

naamini bao la pili linakuja
@crashwise, toto wanatubaniaga si unajua mwanza yanga wengi sana?? kwa hiyo upande wa pili wanaitumiaga sana kutuharibia, so hapo amini twacheza na toto na yanga nusu
 
gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo



simba wanapiga bao la pili hapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


ilikuwa gonga safi sana
 
dakika ya 72, mgosi anampasia ochan nae bila ajizi ankaingiza kitu kimiani

simba 2 toto 1

na bado tumewashika
 
daaaaaaaaaaah dakika ya 92 toto wanasawazisha

dah toto 2 simba 2

nimeboreka vibaya sanaaaaaa

siku imeanza vibaya
 
Back
Top Bottom