zitto, kumbe nae mnyama, Kwa mjibu wamagazeti simba wameahidiwa mil 100 wati TP Mazembe wameahidiwa US$ 50,000 zaidi ya TZS 75,250,000.00zitto kabwe na idd azan wapo kwenye msafara tuwaombee wote na kikosi chetu.
zitto, kumbe nae mnyama, Kwa mjibu wamagazeti simba wameahidiwa mil 100 wati TP Mazembe wameahidiwa US$ 50,000 zaidi ya TZS 75,250,000.00
Mkuu leo unaonekani unajiamini sana na game la leo hebu nipe siri yake maana vijana tulikuwa nao hapa Arusha nilivyo waona hofu yangu beki yaani kukosekana kwa Joseph Owino na kiungo Hillary Echessa.nnavyoona tushachukua kitita hicho tayari .
Ni kweli TBC1 watatuonyesha moja kwamoja (Live) pambano la Simba Sport Club na TP Mazembe..Asante TBC
wewe ni mkongo nini? Sijui kitu gani unakishangilia hapa.. Wewe unafikiri TP mazembe hatuwezi kuwafunga?wewe kuna siku ulishawahi kufikiria kuwa kuna timu ya africa ambayo ingeweza kuifunga Internacional ya Brazili? But TP mazembe waliwafunga hawa jamaa.. Sasa sisi kwa nini tusiwafunge TP mazembe? Mpira unadunda na hawa kesho tunawapiga .. Timu yetu ipo fit sana and dont undermine it kwa kuqoute mechi na AFC Arusha.. Sisi international tupo juu sana na tuna historia ya kwenda mbali. Na bila shaka wewe ndugu yangu utakuwa ni kandambili ndio maana unaloga hapa na kesho utafunga mdomo wako.
Acha uniite kandambili au malapa, lakin tutajionea leo. Mi sina mpira wa majigambo ya mdomoni wakati maandalizi hakuna. Kwani hao wabrazil wangefungwa bila TP Mazembe kufanya maandalizi ya kutosha??
Subili muone leo kwamba maandalizi ndio silaha pekee na wala sio kubwabwaja tu.
Nitaendelea kusema ukweli hata mashabiki wa Simba wakasirike vipi, lakin kwa wale waelewa watajua ninachoongea ni kitu gani.
Soka halichezwi kwa majigambo ya SISI NI INTERNATIONAL, SISI TULITOA ZAMALEK NA BARCELONA, SIJUI SISI TULITOA NANI . .. .
Maandalizi ndio kila kitu
gem saa ngapi vile?
Ndo ivo mshatupiwa viwili faster.mkuu crashwise natumai utakua unatu updates kama kawaida mzeya
Ndo ivo mshatupiwa viwili faster.
mechi imeisha 3-1kwa hiyo mpira ushaisha siyo? acha kupayuka kaka
ekanga mkameruni alifunga goli la pili ... na kalioko akafunga ala tatu
okwi alifunga goli moja la sima na mechi imeshaisha
SIMBA naikubali sana yaani TP wakali wa dunia tumetoka nao 3-1??
nini wewe?:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
nini wewe?