Acha uniite kandambili au malapa, lakin tutajionea leo. Mi sina mpira wa majigambo ya mdomoni wakati maandalizi hakuna. Kwani hao wabrazil wangefungwa bila TP Mazembe kufanya maandalizi ya kutosha??
Subili muone leo kwamba maandalizi ndio silaha pekee na wala sio kubwabwaja tu.
Nitaendelea kusema ukweli hata mashabiki wa Simba wakasirike vipi, lakin kwa wale waelewa watajua ninachoongea ni kitu gani.
Soka halichezwi kwa majigambo ya SISI NI INTERNATIONAL, SISI TULITOA ZAMALEK NA BARCELONA, SIJUI SISI TULITOA NANI . .. .
Maandalizi ndio kila kitu