nafasi ya simba kuendelea ni ndogo..

Kweli mkuu ni ndogo lakini ipo. kwanza hawa jamaa walikuja na mbwembe kibao ..leo tufurahie tangalau hako kaushindi mwembamba. watz kwa kawaida ushindi unakuja mara chache chache sana
 
Wataendelea ikiwa watajipanga vizuri mechi ya marudiano!
 
Hivi lile goli moja lilikuwa linatosha kweli......????
mimi nadhani simba walitakiwa kuwakandamiza mabao mengi sana hawa "Darling Club Motema Pembe), maana hata baaada ya mchezaji wa simba kutolewa nje kwa kadi nyekundu, bado simba waliendelea kulishambulia lango la "Mapembe" kama nyuki...!!

Jamani Simba..............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
.............Peleka jukwaa husika...mbona watu mna mzaha kwenye jukwaa la watu makini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…