Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Gooooooooooooooooooooooooooooooal

DC Motema 1 - 0 Simba
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooal
Nigeria 2 - 0 Tanzania
 
Hizi taarifa zinatofautiana, mi site ninayoangalia inasema Simba kashalambwa ki-moja na ni HT

Simba wamepigwa bao dk ya 45 mwishoni
Saa hizi ni dk ya 47
DC Motema 1 - 0 Simba
 
Yaani hapa tunachanganyana tu, sijui matokeo yanayotolewa ni ya simba au vijana wa Julio.
 
Back
Top Bottom