kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Inaanza saa ngapi ndugu kwa saa za Mkweere?
ok asante mkuu! Tupo pamoja!
hahhahah!! hapo kwenye red umenifurahisha kweli kweliHAwa wa Nigeria nini Bwana wanaiwekea Vijana wetu wa Tanzania game kwenye uwanja kama wa Yanga Jangwani ikinyesha mvua unatafuta Ngalawa na Nyavu na Ndowano unakuwa mvuvi.
Unaweza kufuatilia online....onlinescore.infoRedio gani itarusha hewani ?Mechi itaanza saa9 alasiri za huko Kinshasa DRC ni sawa na saa kumi na moja hapa Tz
Dakika ya 90' Barcelona 3-1 Manchester United
Sorry......nimekosea nimeenda FIFA.COM
kinachokufanya usielewe ni kipi? .....just google... onlinescore.info...game zote duniani matokeo yapo,so far dakika 37 bado 0-0yoyote jamani na matokeo? Hiyo link hata sielewi