Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Leo nitakuwepo uwanjani nitawapeni updates kadiri niwezavyo...

Utakua umefanya la maana, kama utaendelea kuturushia hizo Nyepesinyepesi juu ya Mtanange unavyoendelea. Bila kusahau kuturushia List nzima ya Simba uwanjani leo.
 
IMG_2146.JPG
IMG_2152.JPG
IMG_2157.JPG
IMG_2169.JPG
 
Simba inaongoza ligi kwa kuwa na pointi 44, Yanga 40...Adui yako muombee njaa
 
Wana Simba samahanini kwa ukimya sababu simu iliniishia chaji ila Leo nimefarijika sana kwani baada ya mgomo baridi ambao ulikuwa unaelekea kunukia vurugu kwa watu kugoma kuingia uwanjani kushinikisha kiingilio ni kikubwa mno ila baada ya mda wa masaa takribani mawili mapenzi ya dhati toka moyoni yakachukua nafasi kwa watu kukubali kuchangia timu yao Simba kwa kukubali kulipa Tsh 5000 badala ya Tsh3000.
Kingine kilichoacha uwanja ukiwa na shangwe nyingi ni G. Lema uku akiondoka na mashabiki uku wakiivisha gari lake bendera ya Simba kwenye ile chuma inayokaa bendera ndogo ya serikali.
Mungu ibariki Simba
Moto ni ule ule mpaka kwa TP MAZEMBE.
Viva SIMBA
 
Back
Top Bottom