Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira umeisha kitambo na matokeo ni Simba SC 0 Kagera Sugar FC 0Walioko Bongo, matokeo vipi?

Jana mweneyekiti wa club ya simba aliingia mtegoni kwa kukimbilia propaganda za watu wa misri za kutaka kuidhoofisha TP MAZEMBE kwa kutumia marefalii wa misri kuwa timu ya mazembe ilitaka kuwaonga mechi ya simba.
Kama simba mtawaza hayo na mechi ya kesho mtawaza hilo kuwa waamuzi wataongwa.Kuna hatari mechi ya kesho wachazaji na mashabiki kulalamikia mahamuzi ya waamuzi wa mchi ya kesho.
Sitoshangaaa kuyaona haya,
View attachment 26330
Jamaa wanaimba kwa mshikamano,Je watanzania tunatambua mshikamano huu.?
Umeonyesha unazi wako wakijinga...unajua kazi ya mwenyekiti....aandae timu ...na Phil na kamati zilizo undwa zitafanya kazi gani...kwa taarifa yako Rage anajua fitna za mechi za kimataifa kuliko wewe....Jana mweneyekiti wa club ya simba aliingia mtegoni kwa kukimbilia propaganda za watu wa misri za kutaka kuidhoofisha TP MAZEMBE kwa kutumia marefalii wa misri kuwa timu ya mazembe ilitaka kuwaonga mechi ya simba.
Kama simba mtawaza hayo na mechi ya kesho mtawaza hilo kuwa waamuzi wataongwa.Kuna hatari mechi ya kesho wachazaji na mashabiki kulalamikia mahamuzi ya waamuzi wa mchi ya kesho.
Sitoshangaaa kuyaona haya,
View attachment 26330
Umeonyesha unazi wako wakijinga...unajua kazi ya mwenyekiti....aandae timu ...na Phil na kamati zilizo undwa zitafanya kazi gani...kwa taarifa yako Rage anajua fitna za mechi za kimataifa kuliko wewe....
Mfungwe goli nne za ajabu ajabu halafu tuwashangilie sahau...siwezi kupata ugonjwa wa moya eti naiunga mkono Yanga....hata kama Simba wakicheza mpira mbovu wazomeeni tu...simba na Yanga zilifikia kubaya yaani kuwapa mbinu wapinzani hicho ndicho kwangu niliona kimevuka mipaka sasa....Mbona wao walituzomea