Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Oh God!! Umeme Kitaa umekatika Gemu Siioni tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] !!!
Wakuu Tumeni Updates nijifariji...
 
FT simba 1-stand 0
Hatutakagi ujinga chama la wana tumewatafuna..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sioni bado ndala anatokea wapi. Simba kwenye safari zake za ubingwa huwa hanaga kawaida ya kupoteza mechi... Labda tufikirie sare mbili ambapo atapoteza point 4... Na gape mpaka sasa ni point 8. Na wakati huo ndala keshaanza kupoteana naona ana lose zingine kama 2 hapo mbeleni.
 
Kamoja hakawafikishagi kileleni shangaa nyie mpo kileeni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji39][emoji39][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Kutolewa Bikra ndo jambo gumu, kilichobaki saa hizi ni kushikwa mkono tu [emoji16] [emoji16]... Muanze kujipodoa wanaume waja... Kama msimu uliopita tu,.. Kelele hazitasaidia.... Kimya kimya ndo zetu..
 
Sahauni. Kwa sasa ile milungula yenu haipo. Mnautafuta ushindi kihalali. Mnashinda kwa tabu sana.
 
1482072484775.jpg

Live updates:

Simba 2 : Ndanda 0
 
Back
Top Bottom