Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Mkuki kwa nguruwe ,kwa binaadam mchungu,mnaikumbuka hii na Lyon,alafu leo mnamsema Zahera.

111111.PNG
 
Mkuu umejam?.. pole
Pole wewe ,unataka kujipa cheo ambacho si chako manake si System admin JF au Ownner wa JF,kama huwezi ushabiki wa mpira bora uache,sasa picha imekukera,je leo mkifa huyu aliyekuwa karibu yako si utapigana nae.
 
Unateseka buree mtani... niachane na mpira kweli?
 
Back
Top Bottom