3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana
Yule ni Msemaji wa Simba,kila analoongea maana yake Simba imesema.hofu yako tu... Tatizo udaku wa manara kuuchukulia kama topic kubwa.
Siamini kwamba timu imemtuma kumzodoa Zahera.Yule ni Msemaji wa Simba,kila analoongea maana yake Simba imesema.
Hongera kaka.But this Nigga Niyonzima ......................for ME he was a man of the match.Hongera kaka,HONGERA SIMBA.Siamini kwamba timu imemtuma kumzodoa Zahera.
Mkuu habari yako?
Ahahahahahaaaaa tumeziba madomo ya kina mama
Nyoo! golibili ni bahati? Tena kutokea nyuma kwa maana walianza kufunga, sawazidha na kuongeza bado ni kubahatisha?Mikia kelele nyingi ila uwezo mdogo sana
Matokeo ya jana yameamuliwa na bahati na si kiwango
Sent using Jamii Forums mobile app