Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sio kihivyo sana, sometimes majukumuKwema mkuu !!!unapotea sana jamvini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kihivyo sana, sometimes majukumuKwema mkuu !!!unapotea sana jamvini
Tunawasubiri kwa hamu Tp Wazembesio kihivyo sana, sometimes majukumu
Ushindi lazima maana tukiipoteza hiyo Mechi itakua njaa sana inaweza gharimu badaeJUMAPILI TUKO UWANJANI.
SIMBA SC v/s MBAO FC
TPL.. Jamhuri Morogoro ndio home ground.
S i m b a n g u v u m o j a.
KweliUshindi lazima maana tukiipoteza hiyo Mechi itakua njaa sana inaweza gharimu badae
Sent using Jamii Forums mobile app
msije mkapoteana lakini
Mazembe siyo wabovu ila tutawashinda kwa goli mbili na wao watapata goliPiga picha simba mbovu ilikutana na ile tp mazembe ya ubora wake ikafungwa tatu bila pale Congo
Bongo hapa wakatufunga 3-2
Sasa simba hii ya sasa na moto wake watakufa 4-0 hawataamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Congo walitufunga 3-1Piga picha simba mbovu ilikutana na ile tp mazembe ya ubora wake ikafungwa tatu bila pale Congo
Bongo hapa wakatufunga 3-2
Sasa simba hii ya sasa na moto wake watakufa 4-0 hawataamini
Sent using Jamii Forums mobile app