Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Hivi Simba wanasubiri nini kumsajili Allan Okello wa KCCA ya Uganda? Huyu bwana mdogo ndiyo perfect replacement ya Okwi na investment ya maana sana kwa simba miaka mitatu ijayo.

Hivi waliwezaje kumuona Kahata ila wakashindwa kukiona kipaji kikubwa namna hii?
Naskia kashapigwa kataba la kufa mtu KCCA.
 
Kesho Simba Sc Tunakipiga na Lipuli Fc pale Taifa..

Kila la kheri kwa mnyama & Merry Xmass
 
Wawa ni beki wa kisasa...ni aina ya beki anae anzisha mashambulizi...tazama magoli yote ya Simba,Pass ya tatu inayo zalisha goli Mara nyingi ina toka kwake.Wewe una taka beki wa kizamani anae subiri kukaba tu,Kumbuka Simba ni timu inayo miliki sana Mpira hivyo mabeki nao wana kuwa sehemu ya kuchezesha timu.Kazi hii ya kuchezesha timu kuanzia ngazi ya beki Wawa ana ifanya kwa ukamilifu kabisa,Simba walimuacha Juuko ambae ana fahamu sana kukaba,unadhani walifanya makosa?
Juuko anajua kukaba ila muundo wa uchezaji wa Simba ulimnyima nafasi ya kucheza,Juuko sio mzuri kuanzisha mashambulizi kuanzia chini,yeye ni mzuri kukaba tu.
Mtazame Pique pale Barca uwezo wake wa kukaba sio mkubwa sana,ila angali build up ya timu kuanzia chini,utaona umuhimu wake.
Wawa ana tuonyesha soka la kisasa na mabeki wa kisasa wana takiwa kufanya nini.
Beki ya kati yule Wawa hamna kitu bora tumsajili Mwamnyeto kuliko kuwa na Wawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kukazia Wawa ni aina ya Rio Ferdinand na John Terry, VVD, Maguire, Koulibary, shambulizi linaanzia nyuma kwenda kiungo + striker
Mabeki wenye sifa hizi ulimwenguni ni wachache na ndio maana sokoni wanauzwa ghali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom