popie
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 801
- 577
Azam atakufa hiyotumefanikiwa kuingia nusu fainali mapinduzi cup 2020 baada ya kuifunga nusu fainali mapinduzi cup 3-1,
nusu fainali tunakutana na azam fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam atakufa hiyotumefanikiwa kuingia nusu fainali mapinduzi cup 2020 baada ya kuifunga nusu fainali mapinduzi cup 3-1,
nusu fainali tunakutana na azam fc
Acha kufuatilia mpira nduguNaomba sana Mungu tuingie fainali na gongowazi fc tukalipe kisasi
Bado 0 - 0 ni second halfMatokeo na Azam lambalamba niaje?
Oya huko vipi
Tumetinga Fainali kwa Mabao Matatu Kwa Mawili
Ukweli unao moyoni. Mazingira ya Ile droo yaliwadhalilisha sana na kuwafanya muwe kama vi underdog tu.Acha porojo wewe kidunula1, Yanga ana misimu mi3 hawafunga Simba.
Droo kwenu ndio imekuwa furaha msimu wa 4 huu, sasa unakuja na maneno tupu bila haya mkuu
Ni kweli Kotei anakuja!? Au na wewe umejaa hofu kama Mimi!?Droo ndio mnashangilia wiki 2 ..??
Je mkishinda si ndio mtaenda hadi bungeni kabisa.